SAMSTUDIO Logo

JIFUNZE JINSI YA KUPATA MOVIE

Hatua ya 1: Chagua Filamu

Hatua 1

Pitia maktaba yetu kisha bonyeza Ona Kionjo ili kuona trela

Hatua ya 2: Tizama Trela

Hatua 2

Tazama kionjo kisha bonyeza Nunua Sasa kuilipia movie husika.

Hatua ya 3: Jaza Taarifa

Hatua 3

Ingiza jina lako na taarifa muhimu ili kuendelea na malipo.

Hatua ya 4: Chagua Mtandao

Hatua 4

Chagua mtandao unaotumia Tigo/Yas, Airtel au Hallotel na hakikisha namba ina salio.

Hatua ya 5: Thibitisha Malipo

Hatua 5

Ingiza PIN ya simu yako kuthibitisha malipo kisha subiri ukurasa wa movie yako ujifungue.

Hatua ya 6: Pokea Filamu

Hatua 6

Baada ya malipo, ukurasa wa filamu utakufungukia moja kwa moja. Pakua filamu ili uweze kuitazama bila kutumia bando.

Samstudio: Kwanini Sisi

SAMSTUDIO

Maktaba kubwa ya movie, uzoefu wa muda mrefu, huduma otomatiki papohapo muda wowote.

🎬 BOFYA HAPA KUCHAGUA MOVIE🎞️
Jiunge na Channel