Privacy Policy
Ilisasishwa: 24 Desemba 2025
1) Taarifa tunazoweza kukusanya
- Taarifa za matumizi ya tovuti: kurasa ulizotembelea, muda, device/browser (kwa takwimu na kuboresha huduma).
- Taarifa za mawasiliano utakazotuma mwenyewe: mfano jina/ujumbe unapowasiliana nasi.
- Malipo: malipo hufanyika kwenye ukurasa wa mtoa-huduma wa malipo; hatuhifadhi namba za kadi/nywila za miamala.
2) Tunavyotumia taarifa
- Kuboresha uzoefu wa mtumiaji na usalama wa huduma.
- Kushughulikia maswali/msaada wa wateja.
- Kupima utendaji wa kampeni kwa takwimu za jumla.
3) Cookies & Tracking
Tunaweza kutumia cookies/teknolojia sawa kwa utendaji wa tovuti na takwimu. Unaweza kudhibiti cookies kupitia mipangilio ya browser.
4) Kushiriki taarifa
Hatuiuzi data yako. Tunaweza kutumia huduma za takwimu/ads kwa taarifa isiyokutambua moja kwa moja.
5) Usalama
Tunachukua hatua za kiusalama kulinda taarifa. Hata hivyo, hakuna mfumo wa mtandaoni ulio 100% salama.
6) Mawasiliano
Kwa maswali ya faragha, tembelea Contact.