SAMSTUDIO
Terms of Service
← Portal Privacy Refund Report

Terms of Service

Ilisasishwa: 2026-01-10

1) Kukubali masharti

Kwa kutumia tovuti/huduma zetu, unakubali masharti haya. Kama hukubaliani, tafadhali usitumie huduma.

2) Matumizi sahihi

3) Akaunti na usalama

Wewe unawajibika kulinda taarifa zako za ufikiaji. Usishirikishe password/OTP na mtu mwingine.

4) Mawasiliano na msaada

Msaada hupatikana kupitia WhatsApp/Email kama ilivyo kwenye portal. Tunajitahidi kujibu haraka, lakini muda unaweza kubadilika kulingana na wingi wa maombi.

5) Uwajibikaji (Disclaimer)

Huduma hutolewa “as-is”. Tunaweza kufanya maboresho/maintenance bila taarifa ndefu, lakini tutajitahidi kupunguza usumbufu.

6) Mabadiliko ya masharti

Tunaweza kusasisha masharti. Tarehe ya mwisho ya marekebisho itaonyeshwa juu.

7) Mawasiliano

Maswali: sam@sizoni.com au WhatsApp +255 713 055 107.