Refund Policy
Ilisasishwa: 24 Desemba 2025
1) Uthibitishaji wa malipo
Baada ya malipo, mfumo unaweza kuchukua muda mfupi kuthibitisha kulingana na mtoa huduma wa malipo.
2) Refund inaruhusiwa lini
- Umeshakatwa fedha lakini haujapokea access ndani ya muda unaokubalika na tumeshindwa kukutatulia.
- Kosa la kiufundi lililothibitishwa upande wa mfumo.
- Malipo yamerudiwa (duplicate charge) na ushahidi upo.
3) Refund isiyoruhusiwa
- Umeshaanza kutumia access kisha unataka kurejeshewa bila sababu ya kiufundi.
- Kosa la mtandao wa mteja, simu, au settings za browser (tutakusaidia kurekebisha).
4) Jinsi ya kuomba refund
- Transaction ID
- Tarehe na muda wa muamala
- Namba iliyolipia
- Movie ID
Wasiliana nasi kupitia Contact.