Terms of Service
Ilisasishwa: 24 Desemba 2025
1) Kukubali masharti
Kwa kutumia SAMSTUDIO, unakubali masharti haya pamoja na sera ya faragha.
2) Matumizi ya huduma
- Usitumie huduma kwa njia inayokiuka sheria au haki za wengine.
- Usijaribu kuvuruga mfumo, kufanya “abuse”, au kuingia bila ruhusa.
- Maudhui ya kionjo (trailer) ni kwa utangulizi wa bidhaa.
3) Malipo & upatikanaji
- Malipo hufanywa kupitia mtoa-huduma wa malipo (third-party provider).
- Baada ya kuthibitishwa, mtumiaji hupata access kulingana na bidhaa aliyonunua.
- Bei zinaweza kubadilika kulingana na ofa/ratiba za kampeni.
4) Haki miliki
Nembo, muonekano na vipengele vya mfumo ni mali ya SAMSTUDIO. Usivitumie bila ruhusa.
5) Ukomo wa dhamana
Huduma hutolewa “kama ilivyo”. Tunajitahidi iwe imara, lakini hatuwezi kuhakikishia upatikanaji wa 100% muda wote.
6) Mawasiliano
Kwa maswali: Contact.