Privacy Notice
Ilisasishwa: 2026-01-10
1) Tunakusanya taarifa gani
- Taarifa za mawasiliano (mf. jina, simu, email) ukituma ombi la msaada.
- Taarifa za kiufundi (mf. IP address, device/browser) kwa usalama na kuzuia udanganyifu.
- Taarifa za miamala (mf. reference/transaction id) pale unapotupa ili tukusaidie.
2) Tunazitumia vipi
- Kutoa huduma na msaada kwa wateja.
- Kuchunguza na kuzuia matumizi mabaya (fraud/abuse).
- Kuboresha ubora wa huduma na utendaji wa tovuti.
3) Tunashirikisha na nani
- Watoa huduma wa kiufundi (hosting/cdn/security) kwa uendeshaji wa tovuti.
- Watoa huduma wa malipo pale inapohitajika kuthibitisha miamala.
4) Muda wa kuhifadhi taarifa
Tunahifadhi taarifa kwa muda unaohitajika kutoa huduma, kutimiza wajibu wa kisheria, na kushughulikia migogoro. Tutaondoa/ku-anonymize inapowezekana.
5) Haki zako
- Kuomba ufafanuzi wa data tuliyonayo kuhusu wewe.
- Kuomba kurekebishiwa taarifa zisizo sahihi.
- Kuomba kufuta taarifa fulani pale inapowezekana kisheria.
6) Usalama
- Tunatumia HTTPS na udhibiti wa msingi wa usalama.
- Usitume OTP/password/kadi details kwenye WhatsApp au fomu.
7) Mawasiliano ya faragha
Kwa maswali ya faragha: sam@sizoni.com au WhatsApp +255 713 055 107.