Report Content / Abuse
Ilisasishwa: 2026-01-10
Tahadhari: Tumia ukurasa huu kuripoti maudhui haramu, ukiukwaji wa haki miliki (copyright), au matumizi mabaya.
Usitume taarifa nyeti (OTP/password/kadi details).
1) Unachoweza kuripoti
- Maudhui yanayokiuka sheria au yanayochochea uhalifu/udhalilishaji.
- Ukiukwaji wa haki miliki (copyright/trademark).
- Spam, phishing, au link za udanganyifu.
- Matumizi mabaya ya akaunti au mifumo.
2) Taarifa unazotakiwa kutuma
- Link/URL ya ukurasa unaoripoti
- Maelezo ya tatizo (kwa ufupi na wazi)
- Ushahidi (mf. screenshot) kama unayo
- Mawasiliano yako (simu/email) ili tukuulize maswali
3) Njia ya kutuma report
- Email: sam@sizoni.com (Subject:
REPORT)
- WhatsApp: +255 713 055 107
✉️ Tuma kwa Email