Refund Policy
Ilisasishwa: 2026-01-10
1) Lengo
Sera hii inaeleza jinsi tunavyoshughulikia maombi ya kurejeshewa fedha na migogoro ya huduma.
2) Inapotolewa refund
- Kama umelipa lakini huduma haikutolewa kabisa kutokana na tatizo la mfumo lililothibitishwa.
- Kama muamala ume-deduct mara mbili (double charge) na ushahidi umeletwa.
3) Inapoweza kukataliwa
- Kama huduma ilitolewa na ilitumika kikamilifu, isipokuwa kuna tatizo la kiufundi lililothibitishwa.
- Kama taarifa za muamala hazipo (reference, muda wa malipo, namba iliyotumika).
4) Nini cha kutuma
- Jina + simu iliyotumika
- Reference/Transaction ID
- Tarehe na muda wa muamala
- Maelezo ya tatizo
5) Muda wa kushughulikia
Tutajitahidi kushughulikia ndani ya siku 1โ3 za kazi (inaweza kubadilika kulingana na uthibitisho wa mtoa huduma wa malipo).
6) Wasiliana
Tuma maombi yako kupitia WhatsApp/Email: sam@sizoni.com ยท +255 713 055 107.